post image
Ziara ya wajumbe wa Bodi ya UEM Afrika Ndolage na Igabiro

KKKT Bukoba, Ziara ya wajumbe wa Bodi ya UEM Afrika katika Dayosisi ya Kaskazini Magharibi baada ya kikao chao kilichofanyika Dayosisi ya Karagwe. Wajumbe wametembelea ofisi kuu ya dayosisi, vituo vya Hospitali ya Ndolage, Taasisi ya Sayansi ya Tiba Ndolage, Chuo cha Kilimo na Mifugo Igabiro. Wageni wamefurahi kuona kazi zinazofanywa na kanisa kwa ajili ya jamii.

post
post
post
post
post
post
post
post
post
post
post
post