post image
Nyamilembe, Kashura, Bukoba kwenye makazi ya Askofu ya Kanisa, nikiwa na wageni kutoka usharika wa Kashozi

Nyamilembe, Kashura, Bukoba kwemye makazi ya Askofu ya Kanisa, nikiwa na wageni kutoka usharika wa Kashozi, Kaskazini B, Missenyi, wakiongozwa na Mch. Robert Fisso.  Wanao utaratibu wa Mwinjilisti kunywa chai na Mchungaji na pia Mchungaji kunywa chai na Askofu nyakati au baada ya sikukuu za noel na pasaka. Imekuwa furaha kuwapokea, kuomba nao na kubadilishana machache kuhusu huduma. Mungu abariki undugu na upendo huu. Amina.

post Ziara ya Askofu
post Ziara ya Askofu