post image
Hatimaye mafunzo ya utumiaji Kanzi data yameanza kwenye ofisi kuu

Hatimaye mafunzo ya utumiaji Kanzi data yameanza kwenye ofisi kuu kuwajengea uwezo Menejimenti, Makatibu wa Idara na Waratibu wa vitengo. Mwanzo umekuwa mzuri. Baada ya mwezeshaji kuridhika na Wanafunzi wake tutaingia kwenye matumizi ya kanzi data moja kwa moja kuanzia mwezi huu wa Februari

Tunamshukuru Mungu kwa hatua hii. Changamoto tutaendelea kuzikabili hivyo tynatarajia mwishoni mwa mwaka huu 2024 Dayosisi yetu iwe imekwishaendeshwa kwa kutumia mfumo katika ngazi zote. Sala zako mafanikio ya DKMG.

post Picha ya Pamoja ya Watumishi baada ya Mafunzo ya Kanzi data